Sanya Donate
Education

WEZESHA ADA YA SHULE

TZS 7,000 raised of TZS 1,000,000

3 donors · 1% of goal

Campaign story

Ndugu jamaa, marafiki na wadau, Natumaini mko salama. Naomba msaada wenu wa kifedha ili kufanikisha malipo ya ada ya shule yenye jumla ya TZS 1,000,000. Elimu ni uwekezaji muhimu kwa maisha ya baadaye, lakini kutokana na changamoto za kifedha ninazokabiliana nazo kwa sasa, nimeona ni vyema kuomba mchango kutoka kwa watu wenye moyo wa kusaidia. Mchango wowote, mkubwa au mdogo, utakuwa na maana kubwa katika kufanikisha lengo hili. Lengo la mchango: Ada ya shule – TZS 1,000,000 Naomba ushirikiano wako ili kuhakikisha masomo yanaendelea bila vikwazo. Mungu awabariki sana kwa ukarimu na msaada wenu. Asanteni kwa kunisikia na kwa msaada wenu.

Recent donors

THEOFRIDA
13 Jun 2026
TZS 2,000
BARAKA MM
10 Jun 2026
TZS 3,000
JACOB MUSHI
10 Jun 2026
TZS 2,000